Ajali ya mtu wangu wa karibu ilitokea Korogwe, michungwani Tanga miaka 4 iliyopita. Wale wakaazi wa Pale , ilikuwa saa 11 alfajiri, wakafika wakapora simu, pochi , begi na kadhalika, yule mtu wangu akafia muhimbili baada ya wiki moja, alifia ICU.
Ndugu zangu wa Michungwani pale Tanga, hivi...