Marekani 'ikiikimbia' Taliban zifahamu nchi hizi nne zinazoendeleza uhusiano na kundi hilo
CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Huku Marekani na nchi nyingi za magharibi zikiharakisha kuwoandoa raia wake nchini Afghanistan baada ya kundi la Taliban kuuteka mji mkuu wa Kabul na kuchukua madaraka, kuna...