Mimi si mbea kiasi hicho kama warumi (Mungu amtangulie) ila mimi ni kidogo sana. Mwanzo nilikuwa nimezoea kuona mdau wetu mstaarabu kuwahi kutokea humu ndani aitwaye Smart911 akiwa anamtaja mwana dada/mama(sina uhakika kipengele cha mama) mahondaw kwa kila comment.
Lakini sasa ni mda sioni...