kumuona daktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    Mbunge Cherehani: Kwanini wagonjwa wanalipa fedha kumuona daktari kwenye hospitali za umma

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama, Emmanuel Cherehani amehoji utaratibu wa mgonjwa kulipia fedha ya kwenda kumuona daktari katika hospitali za Umma hapa nchini ambapo amedai wagonjwa hulipishwa kiasi cha shilingi 5,000 mpaka 30,000. Soma pia: Dkt. Seif Shekalaghe: Marufuku hospitali kudai fedha...
  2. Waufukweni

    Dkt. Deus Ndilanha apinga kupunguzwa au kuondolewa kwa gharama za kumuona Daktari Hospitalini

    Rais wa zamani wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dkt. Deus Ndilanha amependekeza kutoondolewa wala kupunguzwa kwa gharama za kumuona daktari hospitalini, akidai kuwa kuondolewa kwa gharama hizo kunaweza kushusha mapato ya baadhi ya hospitali na kufanya baadhi ya watoa huduma kushindwa...
  3. ChoiceVariable

    Mbunge Jumanne Kishimba: Kwanini wananchi walipe pesa ya kumuona daktari wakati wananchi walijenga kituo cha afya wenyewe?

    Naungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi. Hongera Kishimba Kwa hoja murua, unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi...
Back
Top Bottom