Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika ardhini.
Kwa mradi huu, Treni ya ER22 ilirekebishwa umbo kuweza kusimikwa injini za ndegevita ya...