kumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  2. Ukitunga sheria kumbuka kuwa inaweza kukugeuka

    Mwaka 1880 Malkia Sunanda Kamiriratana wa Thailand akiwa kwenye boat ndogo ya kifalme, boat hiyo ilipata ajali kwa kugongana na boat kubwa. Watu waliokuwa kwenye boat ndogo yani malkia, binti yake, vijakazi na walinzi wake wote walidumbukia kwenye maji. Shida ikawa ni je wamuokoe malkia au...
  3. Kuna wanao kumbuka nappy pins

    Usiombe mvua inyeshe na una nappy 5, wakati huo omo haipatikani sabuni olikua Foma kutoka Tanga. Nappy hazikuwa rahisi kwani zilipatikana kwa matendo kutoka Zambia, Kenya, Congo na walioishi mipakani ndiyo walituletea. Ukisafiri Dar Bukoba unafunga nappy chafu utafua ukifika. Hizi...
  4. O

    Rais Samia kumbuka haya na uyatafakari

    Nakusalimu mama! Kwanza nakukumbusha methali isemayo "Ushikwapo Shikamana" Tangu lilipotokea janga la msiba wa Magufuli, katiba ilikutaka wewe ndo uwe Rais wetu lkn mazingira ya wewe kuwa rais hayakuwa mepesi, tunamshukuru mungu uliapishwa na kushika madaraka. Baada ya kuapishwa wana CCM wenzio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…