Miaka ya 2000 mwanzoni kulikuwa na Televisheni za visogo, sisi tumekua tukiziita Video za chogo, tv ambazo zilitulea sana kipindi hicho. Miaka hile niko pale jijini Mwanza, Ilemela mitaa ya Ghana kariakoo ndogo na kariakoo kubwa kulikuwa na mabanda ya video, ukizingatia miaka hiyo wenye video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.