kuliombea taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    ‘Wakatoliki wa Yombo Dovya’ wampongeza Papa Leo XIV kwa kuiombea Tanzania

    Wakatoliki wampongeza Baba Mtakatifu Papa Leo XIV baada ya kufikia hatua za kuwasilisha ombi la Tanzania kufungua ubalozi wake Nchini Vatican pamoja na kuliombea Taifa amani Pongezi hizi zimewasilishwa na Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya , Makangarawe , Wilayani Temeke Jijini Dar es salaam...
  2. Just Pray

    PostGE2025 Hawa ndiyo waliotupwa nje baraza jipya la mawaziri

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri huku wakiwekwa kando baadhi ya mawaziri waliokuwamo kwenye baraza lililopita. Walioachwa na wizara zao walizoziongoza kwenye baraza lililopita ni aliyekuwa, 1. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, 2...
  3. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  4. A

    Ibada ya kuliombea taifa

    IBADA YA KULIOMBEA TAIFA Kuna njia nyingi za kuonyesha hatupendezwi na yanayoendelea nchini na kuombea muafaka wa kitaifa kwa kushiriki ibada maalum tunaweza kutenga saa, siku kadhaa kuliombea Taifa. Hizi ibada, maombi dua maalum zinaweza kwenda pamoja na mfungo kila mtu kwa imani yake lakini...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Wake wa viongozi wafanya dua ya kuliombea taifa

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amepongeza chama cha wake wa viongozi Ladies of new millennium group kwa kuandaa dua maalumu ya kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari Sixtus amesema jambo...
  6. H

    Tuungane kuliombea taifa letu Tanzania

    Kadiri tunavyokaribia uchaguzi mkuu mwezi Oktoba, ni muhimu kama Watanzania kuungana kwa sala, maombi na mshikamano tukiliombea taifa letu. Tuombe uchaguzi uwe: ✅ Wa amani – Usio na vurugu wala chuki ✅ Wa haki na uwazi – Haki ya kila Mtanzania iheshimiwe ✅ Wa mshikamano na upendo – Kila mmoja...
  7. Chibike

    Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
Back
Top Bottom