kulinda amani ya nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanaenda kulinda amani Congo ila wanashindwa kulinda wananchi wao. Aibu

    Useless! Mnaenda kulinda raia wa nchi zingine ila mnaacha raia wenu wakiwindwa hadi majumbani na kuuliwa kama digidigi. Shame on you!
  2. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Riziki Lulida: Tusiruhusu damu kumwagika, ni jambo baya sana

    Hata mimi sipendi kumwaga damu. Kwahiyo kama viongozi wanapaswa kuwasikiliza wa nchi ================ Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Riziki Saidi Lulida, ametoa wito kwa Watanzania wote kuendelea kulinda misingi ya amani na mshikamano iliyojengwa tangu...
  3. Mafyangula

    GE2025 Bodaboda, bajaji waaswa kuwa mabalozi wa amani na kupinga ukatili

    Madereva wa bodaboda na bajaji wa Wilaya na Mkoa wa Singida wametakiwa kuwa mstari wa mbele kuhubiri amani na utulivu, hasa kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, kwa kutambua kuwa shughuli zao hutegemea uwepo wa usalama na utulivu nchini. Wito huo umetolewa Oktoba 17, 2025 na Mkuu wa...
Back
Top Bottom