kulawitiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    PostGE2025 Kijana wa miaka 14 ajinyonga baada ya kulawitiwa na waliomchukua Oktoba29

    Mtoto wa miaka 14 kutoka kijiji cha Arusha ameripotiwa kujinyonga baada ya madai ya kuingiliwa kinyume na maumbile na askari waliomchukua Oktoba 29. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia, kijana huyo alipatikana tarehe 4 akiwa ameumizwa vibaya, mwili ukiwa na makovu na kuvimba. Hali yake iliwatia...
  2. FRANCIS DA DON

    GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

    Binafsi nimekuwa najiuliza sana, nchi nzima hii kila jimbo huwa linawakilishwa bungeni na mbunge ambae anaeleza shida za jimboni kwake na kupata utatuzi. Huku Tabata nimeambiwa tupo ndani ya jimbo la Segerea, sasa nikauliza, mbona huu ubovu wa kutisha wa barabara huku Tabata, tena Dar es...
  3. Mto wa mbu

    Madai ya watuhumiwa kulawitiwa na kupigwa video na picha za uchi. Je, wanaorekodi wanazipeleka wapi?

    Ni aibu, unyama, fedheha Kwa nchi yetu, wakosoaji wa serikali ya Samia kwa muda tofauti wamenukuliwa wakisema, wamebakwa, kuingiliwa kinyume na maumbile na kurekodiwa video. Mwanzoni nilidhani labda ni uongo ila nilipoona kina Boniface Na Agather wakidai kurekodiwa video za uchi na kubakwa...
  4. Waufukweni

    Bibi wa miaka 68 abakwa na kulawitiwa kisa pombe

    Athanas Michael Masubo mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa mtaa wa Kashishi kata Nyamhongolo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti bibi wa miaka 68 wakati wakinywa pombe aina ya Konyagi. Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Wilbrod...
  5. K

    Kesi ya Mwalimu "kuruhusu" kulawitiwa na Mwanafunzi wake, serikali ichunguze mawakala wa kueneza ushoga mashuleni

    Kumekuwa na ongezeko kubwa sana na la kasi la wimbi la ushoga kwenye jamii yetu kuanzia kwenye familia, mtaani hadi mashuleni Mwalimu wa kiume anapofikia hatua ya kumshawishi mwanafunzi wake amlawiti sio kwamba amekosa mabasha wa kumfanyia hivyo. Binafsi naamini anafanya hivyo kimkakati...
Back
Top Bottom