Mwimbaji wa Marekani, D4vd, amekamatwa kwa tuhuma za kumuua binti mwenye umri wa miaka 14 ambaye alitoweka mwaka jana.
Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 21 alikuwa chini ya uchunguzi na jury kuu baada ya mabaki ya Celeste Rivas Hernandez kupatikana kwenye gari lililosajiliwa kwa jina lake...