kujitunza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Umri mkubwa (uzee)na jinsi ya kujitunza.

    Habari za asubuhi wanabodi na marafiki wa jamiiforum. Kila kitu huchakaa,huchoka yaani kutoka upya wake hadi kuona kitu ni cha kawaida mpaka kufikia kuwa hakiwezi kutumika au kufanya kazi mpaka labda kiwekewe spea,pengine hata kukitupa kabisa. Lakini tuangalie namna mwanadamu asivyo na spare...
  2. JamiiForums Tanzania Sitawafundisha tena; Ukitaka mapenzi yasikusumbue tafuta mwanamke anayemiliki pesa yake mwenyewe(anayeweza kujilisha na kujitunza)

    SITAWAFUNDISHA TENA; UKITAKA MAPENZI YASIKUSUMBUE TAFUTA MWANAMKE ANAYEMILIKI PESA YAKE MWENYEWE (ANAYEWEZA KUJILISHA NA KUJITUNZA) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elewa, mwanamke Anayemiliki pesa zake mwenyewe alafu akakukubalia uwe Mchumba au mpenzi wake huyo kuna uwezekano wa asilimia...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaowahi kuchoka ni wale wasiotunzwa na kujitunza

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili. Ipo kasumba ya kuwa Wanawake wanawahi kuzeeka au kuchoka. Jambo ambalo sio Kweli. Kasumba hiyo imewafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Vitu gani ungefanya au usingefanya kama ungekuwa unajipenda kwa dhati?

    Wakuu kwema? Kuna mambo mengi tufanaya kwa ajili ya wengine huku mara nyingi tukijisahau sisi wenyewe. Inaweza kuwa unafanya kwa kupenda na wakati mwingine ni kwa kujilazimisha kwakuwa hatutaki kuwakwaza wapendwa wetu, au kuwafurahisha watu wengine, na mara nyingine ni katika kutekeleza tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…