kujiokoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beira Boy

    Mama Samia fanya haya kujiokoa

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ukiwa unahutubia watu jiangushe chini puuu kama mzigo wa Kuni, Kisha muite mkuu wa majeshi mwambie siwezi tena kuendelea kuongoza maana hali yangu kiafya ni mbaya sana Kwanini ufanye hivyo? Ili uwakwepe hawa wana mtandao ambao wanataka...
  2. Damaso

    Watoto wa Shule ya Awali ya Feza Wajifunza Mbinu za Kujiokoa Wakati wa Moto

    Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo linawaka moto. Wakiwa chini ya uangalizi wa walimu wao na maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoa...
  3. Webabu

    Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

    Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote. Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono. Azimio la kusitisha...
  4. Kalpana

    Je, ukivamiwa na nyuki ufanyeje kujiokoa?

    Mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Kigoma afariki baada ya kuumwa na nyuki... Jirani na kwake kuna mwembe watoto walipotoka shule wakarusha mawe na kupelekea nyuki kutoka na kumvamia mwalimu huyo. Chanzo: BBC Hivi nyuki wakikuvamia unatakiwa ufanyeje kuepusha madhara? Kifo hiki ni cha...
  5. J

    Eng Victor: Namshukuru Mungu kwa Ujasiri alionipa wa kujiokoa na kuokoa wengine kwenye Ndege, naelekea Muhimbili kwa matibabu zaidi

    Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha...
Back
Top Bottom