Habari, tunaomba msaada wa kutupazia sauti juu ya changamoto kubwa tunazokumbana nazo sisi watumishi katika Wilaya ya Hai.
Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai. Hadi sasa, sijapatiwa fedha ya kujikimu kama inavyostahili kwa mujibu wa taratibu za ajira serikalini...