kujifungua kwa upasuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    DOKEZO Kujifungua kwa upasuaji Muhimbili ni anasa kwa wajawazito? Gharama ni ghali

    Kama tunavyojua, mara kadhaa tumekuwa tukiwasikia baadhi ya wanasiasa wakidai kuwa wajawazito wanajifungua bure. Kauli hizi zimekuwa zikizua mijadala mikubwa kuhusu uhalisia wake, hasa ikizingatiwa kuwa bado kuna gharama mbalimbali zinazotozwa kwa maelezo kuwa ni michango ya huduma. Hata hivyo...
  2. Mindyou

    Wanawake wa Dar na Njombe waongoza kwa kujifungua kwa njia ya upasuaji. Shida ni nini?

    Hivi kwanini siku hizi wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa oparesheni? Au ni fashion wakuu? ===================================== Wajawazito wanaoishi katika mikoa ya Njombe, Dar es Salaam na Iringa wametajwa kuvuka kiwango cha idadi ya kujifungua kwa njia ya upasuaji, hali inayoashiria...
  3. walikuyu

    Mimba ya nne kujifungua kwa njia ya kisu, nini madhara au athari kwa mama?

    Wakuu habari za jioni, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mama ni mjamzito kwa sasa ana watoto watatu lakini ametoka kujifungua mwaka umepita mtoto wa mwisho na uzao wote ni kisu. Sasa swali langu uyu mama alitoka kujifungua mwaka jana na sasa ni mwaka tu umepita sasa sijui niseme...
  4. Mamujay

    Kuna uhusiano wowote kati ya malezi na kujifungua kwa operation?

    Habari wana jamvi, Nina jambo hapa naomba kuuliza. Je, kuna uhusiano gani kati ya kujifungua kwa kisu na malezi ya binti husika? Bila kumkwaza mtu naomba kuleta hii mada mezani, mimi nachowaza nasema hivi uhusiano upo. Mabint wengi ambao wamelelewa kwa kudekezwa ndio wanajifungua kwa...
Back
Top Bottom