Watu wasiopungua 6 wamethibitishwa kupoteza maisha na wengine wengi wanaaminika bado wako chini ya kifusi baada ya jengo moja lililokuwa linajengwa kuporomoka huko Kisenyi nchini Uganda.
Salim Uhuru, mkuu wa timu ya uokoaji amesema kuwa, miili ya watu sita imetolewa kwenye kifusi na kupelekwa...