Ukweli ni msingi wa maendeleo ya kweli katika jamii yoyote. Taifa linalojengwa juu ya misingi ya unafiki, uoga na kuficha ukweli, haliwezi kufikia maendeleo ya kweli wala ustawi wa wananchi wake. Ili tuweze kutatua changamoto zinazoikumba nchi yetu — iwe ni katika sekta ya afya, elimu, uchumi...
Jana (December 11, 2025) Serikali ya Bulgaria ilijiuzulu kufuatia weeks za street protests dhidi sera zake za kiuchumi na kushindwa kudhibiti corruption. Nawapongeza sana Wabulgaria kwa hili. In fact, hii ndiyo aina ya utamaduni ambao Watanzania tunapaswa kuujenga.
Inasikitisha kuona Serikali...
Ili kujenga jamii yenye utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya taifa hili.
Tunapaswa kupitia mabadiliko kadhaa moja ya mabadiliko hayo kama ushauri au pendekezo langu ni kupitishia sheria ya muda wa kazi kwa wafanyakazi katika taifa hili.
Muda rasmi wa kazi utapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.