Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata mababu zetu walivyokuwa wana watenga yaani kuwashusha kabisa thamani yao walikuwa wana haki...
Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu.
Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi.
Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au...
Nashangaa huko Instagram mwanamke anajitapa kuzaa inje ya ndoa watoto watatu halafu ndani ya ndoa mtoto mmoja Nini hiki wakuu mbona hatari sana.
Najiuliza inakuwaje wanaume uendelee kuishi na mwanamke ambaye amezaa inje ya ndoa watoto wote hao au ni limbwata hilo Nini 🤣🤣🤣,
Tatizo SS wanaume...
Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi
Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁
Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi.
Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
Habarini wakuu natumaini mko wazima wote leo niwaeleze ,Maana ya kuishi na mwanamke kwa akili ni kuwa na uhusiano wa busara, hekima, na uelewa na mwanamke katika maisha ya kila siku. Hii inaweza kuwa katika ndoa, uchumba au hata maisha ya kawaida ya pamoja. Inahusisha mambo yafuatayo:
1...
Nimekaa kibachela muda mrefu sana, nimeteseka sana na upweke nikawa najiliwaza na mkono bao au kupiga mgalala
Siku zote hizo mademu walikua wananikataa kila ninaemtia vocal anadai ana mtu wake Hatimaye nikapata toto la 2005 toto bichi linalojua kucare nikaanza kuishi nae ghetto
Cha ajabu kwa...
Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa.
Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha!
Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'.
Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
"Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
Mimi ni kijana nimeoa Kwasasa Nina mwaka mmoja toka nioane na mke wangu na tumejaliwa kupata mtoto ana miezi miwili.
Lakini pamoja na hayo Kuna kitu
Nilikuwa nashindwa kuelewana na mke wangu
Nilikuwa Niki sex naye naona reaction ya mwenzangu ni kama mtu ambaye hayuko pamoja na mimi ananipa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.
Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi...
baltasar ebang engonga
baltasar engonga
equatorial guinea
kuachiwa huru
kuishinamwanamke
mahakama
puff daddy
video za ngono
wake za watu
wanawake wa kiafrika
Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.
Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na...
Shalom,
Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida.
1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake.
2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau.
3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na...
Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
Asalaam,
Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani.
Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea.
Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
Habari za wakati huu.
Ndugu kuna bidha haramu zisizo lipa kodi na hata nyingine kupigwa marufuku na mamlaka za nchi husika kama tunavyojua na ikitokea ume kamatwa na bidhaa haramu basi adhabu yake inajulikana ndugu zangu.
Kama kichwa cha habari kinavyo sadifu hapo juu naendelea kwa masikitiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.