Tukiwa tunatazama BBC na yanayoendelea kuhusiana na kifo cha Raila, nilijikuta naanza kuhesabu watu mashuhuri waliokufa na kuacha wake zao hadi leo.
Nilianza na Nyerere, Kibaki, Moi, Magufuli, Mkapa, Kijazi, Mfugale, Lowasa, Sitta, Mandela, et al. List ni ndefu sana. Ajabu wote hao bado wake...