kuimarisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  2. JamiiForums Tanzania Huduma ya Intaneti Inakuza Uchumi wa Nchi na Kuimarisha Ustawi wa Watu

    Intaneti imefungua ulimwengu mpya kwa watu wengi duniani kote. Fursa nyingi zinapatikana hapa. Teknolojia hii inatoa fursa ya watu kuboresha maisha yao kwa kuwapa ajira na kurahisisha shughuli zao binafsi ikiwemo za kibiashara. Intaneti inafungua ufikiaji wa vitu vilivyokuwa si rahisi kufikiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  4. L

    JamiiForums Tanzania AfDB yapanga kuimarisha miundombinu ili kuharakisha ukuaji wa uchumi wa Afrika

    Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) inapanga kuendeleza ujenzi wa miundombinu kama mojawapo ya njia mwafaka za kukuza uchumi katika bara la Afrika.
  5. JamiiForums Tanzania Ipo haja ili kuimarisha muungano jina "chama cha mapinduzi"likabadilishwa.

    Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA"" Kwa jina hili...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Huawei kupeleka zana za kidijitali ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori barani Afrika

    Kampuni ya mawasiliano ya Huawei ya China imesema itapeleka teknolojia yake ya 5G ili kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori mashuhuri barani Afrika huku kukiwa na vitisho vinavyohusishwa na shughuli za binadamu na mabadiliko ya tabia nchi Huawei inasema teknolojia yake ya 5G na kamera za kisasa...
  8. JamiiForums Tanzania Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  9. JamiiForums Tanzania Katika usajiri huu wa dirisha dogo, chama langu Simba naomba muwasajiri hawa wachezaji 3 kuimarisha kikosi

    Kwanza niwe muwazi mimi ni shabiki wa Simba SC haswa. Sasa hatari ninayoiona kwa musimu huu wa ligi kuu, ni ubora alionao mtani wetu Yanga SC, bila unafiki na ushabiki hakika Yanga wanakikosi cha kutisha mpaka na hofu nani wa kuweza kumzuia hasichukue ubingwa. Kibaya zaidi ninachokiona mbele...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  11. JamiiForums Tanzania Muongo wa Hatua za Kuimarisha Usalama Barabarani 2021 - 2030

    Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030. Utangulizi Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
  12. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa?

    Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa? 12 Julai 2019 Imeboreshwa 25 Aprili 2021 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja kinaweza kuimarisha tendo la ndoa na kukuzidishia hamu, huenda kungekuwa na uhaba wa chakula hicho...
  14. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zaendelea kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Na Fadhili Mpunji Maonyesho ya pili ya biashara na uchumi kati ya China na Afrika yanaendelea kufanyika mjini Changsha, Hunan kusini mwa China. Maonyesho haya ni moja ya majukwaa muhimu ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, na ni fursa adimu inayotolewa na China kwa nchi...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuimarisha Demokrasia ya Tanzania ?

    Neno Demokrasia linamaanisha utawala wa watu (chanzo ; kamusi huru). Ili demokrasia iwepo wanahitajika watu wenye kuanzisha utawala wao ambao utawaongoza kwenye nyanja mbalimbali katika jamii husika. Demokrasia ya Tanzania Tanzania ni kama nchi nyingine zenye kufata demokrasia hii ni kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kuimarisha upinzani, CHADEMA tusikiite "chama kikuu" cha upinzani

    Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani. Nasema hivi kwasababu, matmuzi ya jina hilo yanajenga inferiority complex miongoni mwa vyama vya upinzani na...
  17. A

    JamiiForums Tanzania CAF champion league 21/22: Yanga sajirini ALEX SONG

    Salaam kwenu wananchi, Miezi michache ijayo Yanga itarejea kwny michuano tajwa baada ya kuikosa kwa muda kdg. Sasa nikimbie kwny mada fasta: Alexandre dimitri SONG bila shaka anajulikana. Ni yule kiungo holding, mwenye nishati nyingi, rasta, raia wa cameroun,mwenye cv iliyoshiba. Amechezea...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia bora za kukuza na kuimarisha Sekta ya Afya Tanzania

    Mara kwa mara kumekuwa na malalamiko makubwa saana kuhusu Mapungufu katika sector ya Afya hasa katika nchi zetu za Afrika {Sana sana katika nchi ziitwazo dunia ya Tatu (3rd world countries) Ambazo nyingi zipo katika kusini mwa jangwa la sahara} Mapungufu hayo katika sector ya afya kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Msigwa awataka Maafisa Habari Wizarani kuimarisha mahusiano na Wanahabari

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka maafisa habari za wizara zote kuimarisha mahusiano na waandishi wa habari ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Msigwa ametoa maelekezo hayo jana jijini Dodoma alipokutana na Wakuu wa Vitengo vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…