Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kumuunga mkono Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, katika juhudi za kuimarisha amani na usalama katika ukanda wa nchi za Maziwa Makuu, kufuatia nafasi yake kama mwenyekiti wa jumuiya hiyo.
Rais Samia amesema hayo leo Jumamosi, Februari 7, 2026...
Maafisa wa Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora wakiongozwa na SACP Richard Abwao, Kamanda wa Polisi mkoani humo wamefanya mazoezi ya kawaida ya mwendo wa pole na haraka katika viunga vya Manispaa ya Tabora yakilenga kujiweka tayari kulinda amani na usalama kwa wananchi hususani kuelekea uchaguzi mkuu...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, leo Agosti 11 atafungua mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi katika Shule ya Polisi Tanzania – Moshi.
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime, amesema kuwa mkutano huo utafunguliwa Agosti 11 na utafanyika hadi Agosti 15, 2025 na...
Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umetoa msaada wa pikipiki 15 kwa Jeshi la Polisi kwa lengo la kusaidia shughuli za doria na operesheni mbalimbali zinazolenga kuimarisha usalama wa raia na mali zao.
Akipokea Pikipiki hizo kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP)...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
Tanzania imepata fursa ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambapo Mkutano huo utakuwa chini ya uenyeji wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kufuatia...
Wakuu
Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
Huu ni uwanja ambao uwekezaji wake ni wa kiwango cha juu sana.
Nashauri uwekewe kamera nyingi sana ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo ili wanaoingia wawe salama