kuikosoa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Ludovick Rwezaura alishambulia Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Samia

    Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia... Amejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea...
  2. Scott junior

    Askari afukuzwa kazi kwa kuikosoa serikali

    Askari magereza wa nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Lawrence Ampe amefukuzwa kazi baada ya kuikosoa serikali kupitia mtandao wa TikTok, huku mamlaka zikisema alichokifanya ni utovu mkubwa wa nidhamu na kuongeza kuwa Kanuni za kazi haziruhusu mtumishi wa umma kushiriki siasa. Lawrence...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    PostGE2025 Je, ni Wasanii wana jukumu la kuikosoa serikali pale inapokosea? Twende kazi

    Hamjambo wote! 1. Kumekuwa na vuguvugu mitandaoni la kuwapiga Pin Wasanii kwa sababu mbalimbali. 2. Nitaeleza sababu halisi bila kuficha kama ifuatavyo; a) Wasanii kutokemea maovu yanayohusishwa na Dola. Hii ndio sababu kuu. Ambayo wananchi wanaona Wasanii hawapo upande wao isipokuwa upande wa...
  4. JOHNGERVAS

    Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

    Kwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini. ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka...
  5. S

    Niwaulize CCM na mashabiki wake; Wabunge wanawajibika kwa Rais? Kama ndivyo, wanawezaje kuisimamia na kuikosoa serikali inayoongozwa na Rais?

    Wakati fulani, Prof. Mwandosya na wengine walipendekeza kwamba mtu anapokuwa Rais, basi kama alikuwa mwenyekiti wa chama, akome kuwa na hiyo nafasi; kwamba tusiwe na raisi mwenye kofia mbili; Rais na mwenyekiti wa chama, ili chama tawala kiweze kuto mwongozo kwa serikali yake. Wengi hatukuelewa...
  6. R

    Mzee Kikwete, Umesahau kuwa Hayati Mwl Nyerere amewahi kuitisha press conference kuikosoa serikali ya Awamu ya pili

    Salaam! Jambo lenye maslah mapana ya nchi ni vyema kuliadress hadharani mbele ya umma Ili ujumbe ufike kote. Hii dhana ya kushauri sirini Kisha ushauri ukapuuzwa, ndio sababu hasa ya viongozi, wazee kutoka hadharani kukemea. Nia na dhamira ya kukemea hadharani hulenga na wengine wajifunze...
  7. M

    Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  8. Bams

    Suala la Sativa Watanzania wema tuungane kuokoa maisha yake

    Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Sativa kupitia mtandao wa X amekuwa mkosoaji mkubwa wa watawala. Mashetani, kama ilivyokuwa kwa Lisu, wakaona kumwua Sativa ndiyo suluhisho la wao kutokuendelea kukosolewa wanapofanya uovo wao. Kama ilivyokuwa kwa Lissu, Mungu kwa namna ya ajabu akamweka hai mpaka...
Back
Top Bottom