Mtu unatamaa ya madaraka mpaka unaiba kura halafu unakufa kabla ya hata kustaafu. Maisha ni mafupi unaiba kura na miaka 70!
Eti halafu hujapumzika hata na familia yako. Ufisadi wote na wizi wote hauendi nao popote. Hayo ndiyo maisha tendeni haki, acheni katiba bora kwa watanzania na sio...
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa na kufanyiwa operation na Dr ambaye amefeli mitihani yote na kutegemea utakuwa salama! Tukubali tu...
Tulianza kuhoji uhalali wa idadi ya uandikishaji wapiga kura kuwa kwenye idadi ya Watanzania milion 60 huwezi kuandikisha wapiga kura milion 37+, kwenye takwimu za watu idadi ya watoto Huwa ni 45% - 50 % hawa hawapigi kura na Bado wafungwa na mahabusu ambao hawana sifa ya kupiga kura
Haya Sasa...
Kama chaguzi sio za haki basi ni wazi mapinduzi ya kimamlaka yapo mda, mapinduzi ya kiserikali sio mpaka ya kijeshi ni hata haya ya kuiba kura
Kitendo cha kuiba kura bado hakichukuliwi kama kitendo cha hatari kwenye nchi, kitendo cha uhaini na kujaribu kupindua utawala wa kiraia.
Mapinduzi...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud: Mnayoyaona wanayoyafanya CCM leo wameyaiga kutoka Zanzibar, kuiba kura, kuteka watu, kuuwa watu haya wameyafanya zanzibar miaka yote lakini tuliamua kupambana nayo na tukawashinda tangu 1995. Lakini sasa tuseme iwe mwisho
Kuzuia uchaguzi ni pamoja na kuiba kura, kutoa rushwa na kuvunja mchakato wa kupatikana wagombea ndani ya chama na kuvunja katiba ya chama.
Kuzuia uchaguzi sio kusema unataka mabadiliko au maboresho ya kiuchaguzi bali ni kile kitendo cha wizi, rushwa na uvunjifu wa katiba ya nchi na chama...
Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu .
Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda.
Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia .
Na kuonesha kuwa...
Katika mataifa yanayojitambulisha kama ya kidemokrasia, uchaguzi huru na wa haki ni uti wa mgongo wa utawala bora. Lakini pale ambapo kura zinaibiwa — kwa hila, ujanja ujanja au nguvu — si tu kwamba haki ya wananchi inapokonywa, bali msingi mzima wa taifa unatikiswa. Katika muktadha huu, hoja ya...
Nimesikia tume huru kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la kifungo gerezani lakini suala la kuiba kura hatulioni kwamba ni halali nimeshangaa sana.
Kama mmedhamilia uchaguzi huru na wa haki msilazimishe ufanyike jinsi mnavyotaka nyinyi, bali kuwe na makubaliono ya pande zote nchini, bila...
Kwa haya yanayoendelea mnapaswa kuyachukulia kama kweli nchi inahitajika mabadiliko makubwa kwenye mamlaka ili kuirudisha Tanzania katika ubora wake wa zamani kipindi cha nyerere.
Kama watanzania mtataka mabadiliko haya mnapaswa kuhamasisha mabadiliko hayo ikiwemo kuelekea kwenye uchaguzi kwani...
Huu ndiyo ukweli mchungu wa watawala,yaani CCM wanajua kabisa wakikubari matakwa ya Chadema wamekwisha,maana yake kuanzia mawaziri ambao wametokana na ubunge mpaka wabunge wenyewe kwa asilimia kubwa hawatarudi bungeni
Yaani kuwepo na tume huru,Uchaguzi ufanyike kwa uhuru na haki bila polisi...
Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria.
Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya;
4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri...
Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa?
Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo?
Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
Askofu Mwamakula anesema wanaomba Maombi magumu dhidi ya kundi lililopanga kuiba Kura Kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema
Mwamakula amekumbushia Maombi magumu ya 2020 na kile kilichoenda kutokea huko CCM
Onyo limetolewa Ukurasani X
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa concern kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba wanafunzi wanatolewa madarasani ili wakaandikishwe kwenye daftari, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida amejitokeza kutetea sakata hilo.
Kawaida alisema kuwa ni sahihi kwa wanafunzi kuandikishwa ili wakapige kura iwapo...
Wakuu,
Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Baada ya kuhojiwa maswali mawili matatu, dogo kaanza kujing'ata ng'ata. Tukio hili limetokea huko...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa.
Lema amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafanya mbinu ikiwemo...
Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu
Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa mkakati mzur kabisa
Makarani wametoka vituoni wapo wanatembea nyumba kwa nyumba wakiongozwa na mtendaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.