kuharibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  2. JamiiForums Tanzania Maandamano yanayoambatana na kuharibu mali kwa kisingizio cha Demokrasia

    Naomba kabla sijaendelea kusema jambo moja... "Naunga mkono vuguvugu za kidemokrasia ambazo sii za vurugu" Daima siungi mkono vurugu kwa kisingizio cha Demokrasia. Wanajamvi leo naomba kusema kitu ambacho najua wengi wetu wanaweza wasinielewe LAKINI naamini kuna watakaonielewa. Mara nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kuharibu dozi zaidi ya 400,000 za COVID19

    Uganda itaharibu dozi zaidi ya dozi 400,000 za COVID-19 ambazo zimeisha muda wake wa matumizi kutokana na kasi ndogo ya utoaji chanjo nchini humo Waziri wa Afya wa Uganda, Jane Ruth Aceng amesema chanjo zilizopelekwa mikoa ya kaskazini hazikutumika. Dozi zilizoisha muda ni modern ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…