kuhamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bei za umeme zasababisha kampuni kuhamia Ethiopia

    Kampuni mbalimbali nchini Kenya zinaweza kuhamia Ethiopia kutokana na gharama kubwa za umeme zilizopo Kwa ufanano ni kuwa bei za umeme za Ethiopia zipo chini kwa zaidi ya 80% ukilinganisha na Kenya Kampuni kadhaa zimeshahama huku nyingine zikiwa zimefunga shughuli zake kutokana na bei za umeme...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameshatimiza ndoto mbili za mwalimu Nyerere, kuhamia Dodoma na Stiegler's Gorge. Bado ndoto moja!

    Mwalimu Nyerere kama kiongozi alikuwa na ndoto zake na miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na Kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, pili kumiliki njia kuu za uchumi na tatu kuwa na bwawa kubwa la kuzalisha umeme Stieglers Gorge. Katika uongozi wake kama Rais, Dr Magufuli ameweza kuhamishia...
  3. JamiiForums Tanzania Ole Millya umerudi CCM au umehamia CCM?

    Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi. Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…