kuhamia ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    GE2025 Nimepoteza interest na uchaguzi wa 2025 baada ya baadhi wagombea wa upinzani kuhamia CCM

    Uchaguzi wa mwaka huu umeibua mambo ya kushangaza. Licha ya kutokuwepo kwa uwanja sawa wa ushindani wa kisiasa kati ya CCM na vyama vya upinzani, kumetokea hali ya baadhi ya wagombea waliopitishwa na vyama vya upinzani katika ngazi za udiwani na ubunge wakiwemo wale waliokuwa na ushawishi mkubwa...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Nusrat Hanje atangaza kuhamia CCM

    Wakuu, Hatimaye ametamka japokuwa tulikuwa tunajua toka alipojitokeza na nguo za CCM. ==== Mbunge wa viti Maalumu kundi la Vijana kutoka Mkoa wa Singida kupitia CHADEMA Nusrat Hanje amewatangazia wananchi wa mkoa huo na Watanzania kwaujumla kuwa anahama chama hicho na kujiunga na Chama cha...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Nay wa Mitego amkana Mange Kimambi kuhusu madai ya kupewa Milioni 100 na kuhamia CCM

    Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM "Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo...
  4. M

    Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  5. Li ngunda ngali

    Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

    Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM. Moja ya mke wake si Mbunge...
  6. Mr Why

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au Vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa

    Dudubaya amshauri Tundu Lissu kuhamia CCM au vyama vingine akidai hatamweza Mbowe na wala CHADEMA haiwezi kufa kwasababu walikuwepo wanachama wakubwa sana akiwemo Chacha Wangwe, Ndesamburo, Lowasa, Alphonce mawazo na walipoondoka CHADEMA haikufifia Tazama Video hii
  7. L

    PreGE2025 LGE2024 Simiyu: CHADEMA yapata pigo Wanachama 60 wahamia CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake wa Wilaya ya Itilima, Ndugu Gershom Migasa Mipawa, pamoja na wanachama wao zaidi ya 60, wamehamia...
  8. peno hasegawa

    Huyu alilazimishwa kuhamia CCM utokea Chadema ukimsikiliza vizuri.

    Embu tumsikilize!!
  9. and 998 others

    PreGE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

    Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM. TAREHE: 28 Julai 2024, MUDA: Saa 12 asubuhi, MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi Kuu ya Chama Mkoa.
  10. M

    Kwanini wanasiasa wa Upinzani Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM?

    Kwanini wanasiasa wa Upinzani wa Tanzania Bara wanahama na kuhamia CCM- KUNANI? Wakati nipo chuo kikuu, Prof Wangu alituambia siku moja darasani kwamba- "ukitaka uishinde njaa usimuhadithie mwezio kama unanjaa kwani anaweza kukuhadithia yeye kala vyakula vizuri ambapo wewe utashindwa kuiviapa"...
Back
Top Bottom