kuhama chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Aisha Madoga: Nimeshajuta sana kuhama CHADEMA, niliishi nikiamini na kuapa kwamba nisingeweza kuondoka CHADEMA

    Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Aisha Madoga, amesema anajutia uamuzi wake wa kuondoka CHADEMA, akieleza kuwa chama hicho kilichangia kwa kiasi kikubwa kujenga safari yake ya kisiasa. Akizungumza na Jambo TV jijini Dodoma, Madoga ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania G55 wajipanga kuhama CHADEMA, lengo ni kusaka frusa za Ubunge, Udiwani.

    Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama. My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa

    Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa Naye Kitenge...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mchungaji Msigwa kuhamia CCM kutoka CHADEMA, unadhani kiongozi gani mwandamizi kufuata nyayo?

    Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa. Anajua na kufahamu mambo na vitu vingi sana ndani ya chadema. Anajua vema nia, uwezo, malengo...
  6. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Kinachowaumiza na kitakachowaumiza zaidi wanachama wa CCM

    Kitendo cha mpinzani kuhamia kwao na muda si mrefu akala teuzi ya maana kabisa chomboni huku wao kama wazawa wakiendelea kuimba na kusifu hua kinawaumiza sana. Mimi sio nabii ila natabili bwana pasta soon anakula kitengo alafu wakereketwa wataendelea kukerwa wakiwa benchi;
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kutoka chama kimoja na kuhamia chama kingine ni uamuzi wa kijasiri na wa kipekee sana kisiasa

    Ni ukomavu, ujasiri na utashi wa kipekee sana kisiasa. Ni uamuzi mgumu na mzito sana kwa mwanasiasa. Kuachana na mazingira ambayo uliishi na watu ulo wazoea vizuri sana, na kuungana na watu wapya na wenye, itikadi, malengo na nia tofauti kabisa na chama ulichotoka. ni uthubutu wa kipekee sana...
  8. Synonyms MP

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

    Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA" 2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA...
Back
Top Bottom