kugawana mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cheti cha ndoa kina msaada kugawana mali tukiachana??

    Tutagawana mali maana nina cheti cha ndoa. Pambana umbane mfunge ndoa ili hata akikuacha mgawane mali. Umewahi kuzisikia hizi kauli bila shaka. Hizi ni kauli na mawazo ambayo wanawake na wazazi wengi wako nayo kichwani na vinywani mwao. Leo wacha niwaambie ukweli mchungu. Cheti cha ndoa pekee...
  2. H

    Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

    Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon. Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon...
  3. Naomba ushauri, nimepewa hukumu ya kugawana mali na aliyekuwa mke wangu

    Mimi na mpenzi wangu tuliyeishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili tuliachana baada ya mwanamke huyo kuanza visa na akaenda nyumbani kwao. Badae akaibukia mahakamani akiomba talaka na mgawanyo wa mali akiongozwa na wakili mmoja hivi ambae ni ndugu yake. Moja ya mali ni nyumba ambayo mahakama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…