1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...