Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya miongo miwili sawa na miaka 21 mfululizo.
Endapo atatangaza kugombea tena atakuwa ni mgombea wa nne...
Wakuu,
Ndio nilichokuwa nasema, CCM hata chawa anapewa anafundishishwa ili kwenye urpokaji wake akafanye kazi iliyotukuka jambo ambalo kwa upinzani wakosa, mwisho wa siku wanaishia kwenda ovyo ovyo kila mtu anatoa tamko kama mahindi ya bisi,
====
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha...
Wakuu,
Badamu batachuruzika safari hii!
=====
Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na viongozi wengine wameibuka kupinga kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa, William Mungai...
Wakuu,
Mary ameenda kutoa onyo hilo huku akiwa mgeni mresmi wenye hafla ya kutoa 'zawadi' kwa wananchi, si ndio yale yale ama? Au ukiongozana na kiongozi mwingine ndio inaacha kuwa rushwa?
=====
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Pius Chatanda (MCC) amekasirishwa na tabia ya baadhi ya wanasiasa...
Wakuu,
Mara baada ya CHADEMA Shinyanga na Mwanza kuonesha kwamba wanamuunga mkono Tundu Lissu, CHADEMA Ilala nao wameonekana kutoa tamko.
Mnaweza kuwatukana CHADEMA kuwa kina mgawanyiko lakini hii ndo aina ya demokrasia inavyotakiwa kuwa
Mambo kama haya huwezi kuyakuta CCM ambapo Mwenyekiti...
Wakuu,
Heche ameandika haya kwenye ukurasa wake wa X
Tuna jukumu la kihistoria la kuhakikisha tunaipatia Nchi yetu chama mbadala, na serikali mbadala itakayowatumikia watu na kuwaondoa katika umasikini wa miaka 63 ya Uhuru.
Serikali na chama kitachopinga rushwa bila aibu, chama...
Wakuu,
Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani?
Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu...
Ndugu zangu Watanzania,
Dalili zote zinaonyesha wazi kabisa Kuwa Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita bila kupingwa uchaguzi wa Hapo Mwakani.
Hii ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea...
Wasamalia wema wamevujisha Taarifa hii kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Kwamba Watu wa Mfumo wametumwa kuvuruga Uchaguzi wa Chadema kwa faida ya Mamluki anayewatuma
Taarifa kamili hii hapa
Nimepata taarifa kuwa mfumo unapanga kufanya vurugu kwenye matukio ya Chama au wanachama wakati huu wa...
Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x
--
Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio...
Muiteni Mlopokaji, Muiteni mwendawazimu, call him Vyovyote unavyoweza kwakua una mdomo, na una bando lako.
Ukweli ni Kua TUNDU LISSU ni Moja ya Wanadamu wanaosoma na Kisha alichokisoma akawa na Uwezo wa kukiweka kwenye matendo, ni Moja ya watanzania wenye Karama za Uongozi, ni Moja ya...
Miaka ya 2010 wakati Zitto Zuberi Kabwe, Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba wanaanza kujenga “picha ya kundi ndani ya Chadema” kwa lengo la kuchukua kiti cha Freeman Mbowe (FAM) CHADEMA, mambo kadhaa yalikuwa dhahiri na yanaweza kulinganishwa kwa kiwango kikubwa kwa mizania na mlinganisho na hali...
Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama!
Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu hakitakuwa salama.
Kama ni hivyo kwanini mlimuamini kugombea urais wa nchi? Mnasema hana hekima na...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa miongoni ya watu wanaomuunga mkono katika kinyang'anyiro cha kutafuta nafasi hiyo ni wale ambao mara...
Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
Profesa Lipumba anaukwaa wadhifa huo, baada ya kupata kura 216 katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho...
Ukiangalia dini zote kubwa mbili za Uislamu na Ukristo zinazuia wanawake kuwa viongozi lakini ukiacha Uarabuni sehemu nyingine zote za dunia ikiwemo Tanzania hayo maelekezo na Tamaduni za dini yamepuuzwa katika upande wa siasa na wanawake wamekuwa viongozi.
Kama wanawake wanaweza kuongoza...
Kwa hii sinema amefanya leo Mbowe hakuna ubishi tena kuwa yeye ni CCM. Kule CHADEMA yupo tu kuchangamsha genge.
Hata kashkash anazopitia ni maigizo tu aonekane kumbe naye yumo.
Kapita mule mule hadi matamko ya msahama kwa ambao hawamkosoa. Umetoka kusema kuna ummoja ila kila Lissu akifanya...
Wakuuuu,
Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Akisema...
Wakuu,
Mambo yazidi kuwa moto! Kila CHADEMA mnavyojitahidi kutuaminisha mpo sawa mnakuja kuharibu.
Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi
Mbowe kasema hana haja ya kujieleza historia yake inajieleza, na kuwa chama...
Wakuu,
Nilidhani mambo ya uchawa yako CCM tu, kumbe hadi CHADEMA machawa wamejaa kibao na leo kwenye huu mkutano wao ndo nimeweza kuwa
==============================================
Akizungumza wakati yupo kwenye mkutano wa "kumlazimisha" Mbowe agombee kwenye kinyang'anyiro cha Uenyekiti...