*SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU*
*MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”*
*Mawasiliano +255 763 305 605*
*Utangulizi*
[Kisha nikarudi tena, na kuona ubatili chini ya jua.
Kuna mtu aliye peke yake, wala hana wa pili wake; naam, hana mwana wala ndugu; hata hivyo amali yake haina mwisho...