kuchukua fomu ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Huyu Wakili Ukashu ameelezea vizuri sana kwanini watu maarufu wanapenda kwenda Bungeni. Neema iliyopo kwenye Ubunge ni kubwa sana

    Wakuu, Hili suala la watu maarufu kutaka kuwa wabunge na kuacha kazi walizonazo naona huyu jamaa ameielezea vizuri sana. Huyu ni Wakili anaitwa Emmanuel Ukashu ameelezea kwanini watu maarufu wanapenda kuwa wabunge. Hapa walikuwa kwenye mjadala hapo TBC uliofanyika a few days ago
  2. Mindyou

    GE2025 VIDEO: Baba Levo kama alishindwa kujibu maswali mepesi kama haya, anawezaje kuwa Mbunge?

    Wakuu Nimekutana na clip hii ya Baba Levo akiwa ameulizwa maswali mepesi kabisa na huyu comedian anaitwa Kipotoshi. Hii interview ina miaka takribani minne lakini it is very relevant hata sasa Yaani anaulizwa muswada ni nini hajui, muswada ni topic ipo form 1 sijui form 2 Soma pia: Baba Levo...
  3. Mindyou

    GE2025 Kawe pamezidi kunoga. Asha Mohamed arejesha fomu kugombea Udiwani wa Viti Maalum Kawe

    Wakuu, Asha Mohamed mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kinondoni arejesha fomu kugombea Udiwani Viti Maalum Jimbo la Kawe wilaya ya Kinondoni
  4. McLaren

    PreGE2025 Kama sio sifa ni nini? Mbunge Musukuma atangaza kuwachangia gharama za kuchukua fomu, watiania wanaolitaka jimbo lake

    Wakuu, Yaani katika wabunge wenye sifa huyu nae ni namba moja. Mbunge wa Jimbo la Geita vijijini, anayemaliza muda wake, Joseph Kasheku (Msukuma) ameahidi kuwa atawachangia gharama za fomu wapinzani wake watakaopungukiwa pesa za kuchukua fomu ya ubunge wa jimbo hilo. Msukuma amesema hayo...
  5. McLaren

    GE2025 Picha: Mtoto wa Rais Samia, Wanu Afidh Ameir achukua fomu kuwania Ubunge huko Makunduchi, Zanzibar

    Wakuu, Wanu Hafidh Ameir amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar. Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge...
  6. R

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwandishi wa Habari MCL, Daniel Makaka ajitosa kugombea Udiwani Bulyaheke kupitia CCM

    Aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Daniel Makaka amechukua fomu ya kugombea udiwani wa Bulyaheke wilayani Sengerema kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makaka amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM kata ya...
  7. Mkweliii

    GE2025 Sasa ni rasmi Mbelwa Petro amechukua fomu ya kuwania kiti cha Udiwani Kata ya Ruziba wilayani Biharamulo kupitia CCM

    Juni 29, 2025 majira ya saa 4 asubuhi Mwl. Mbelwa Petro amewasili ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM} kata ya Ruziba na kuchukua fomu ya kuwania kiti cha udiwani katika kata hiyo. Kada huyo wa chama cha mapinduzi mara baada ya kukabidhiwa fomu na Katibu wa CCM kata ya Ruziba, Cde. Erasto J...
  8. M

    GE2025 Mkurugenzi wa MAUWASA achukua fomu ya Ubunge Buchosa kupitia CCM

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Maswa (MAUWASA), Mhandisi Nandi Mathias James, amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa Jimbo la Buchosa, wilayani Sengerema, mkoa wa Mwanza. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia...
  9. McLaren

    PreGE2025 Mbunge wa Viti maalum Christina Mzava achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Viti maalum

    Mbunge wa Viti maalum Christina Mzava achukua fomu ya kugombea Ubunge kwa mara nyingine katika ofisi ya UWT mkoa wa Shinyanga. Kumbuka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefungua rasmi mchakato wa kuchukua na kurudisha fomu za kugombea Udiwani, Ubunge, na Uwakilishi kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  10. W

    PreGE2025 Mtanange wa jimbo la Arusha Mjini utakuwa wa aina yake, Mrisho Gambo naye achukua fomu

    Mbunge anayemaliza muda wake wa jimbo la Arusha mjini na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa huo Mrisho Gambo @mrisho_gambo amechukua tena fomu ya kuwania nafasi ya kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania kuwa Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania utakaofanyika baadae...
  11. McLaren

    PreGE2025 Hivi jimbo la Mbeya Mjini kuna siri gani? So far kuna makada 5 wamejitokeza kuchukua fomu

    Wakuu, Kwa sasa jimbo hilo halina Mbunge baada ya aliyekuwapo Dk Tulia Ackson kutangaza kugombea Jimbo jipya la Uyole katika uchaguzi mkuu ujao. Mpaka sasa makada watano wa CCM, wametia nia kulitaka jimbo hilo wakiwa ni Nsomba, Mwandishi wa Habari, Charles Mwakipesile, aliyewahi kuwa...
  12. McLaren

    GE2025 Aliyekuwa mtangazaji wa The Mboni Show, Mboni Masimba naye achukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalum Handeni Mjini

    Wakuu, Yaani CCM ukiwa unapumua tu basi hiyo ni qualification tosha ya kuchukua fomu. Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mboni Masimba amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge wa Viti Maalumu kupitia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Tanga.
  13. McLaren

    PreGE2025 Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Kilimanjaro achukua fomu kugombea Ubunge Mbulu Vijijini

    Wakuu, Mchakato wa uchukuaji fomu unaendelea Huyu dada anaitwa Grace Saulo Mali yeye alishawahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Kilimanjaro na pia alishawahi kuwania ubunge wa Bunge wa Bunge la Afrika kupitia CCM Naona hata huko miandaoni pia ni maarufu sana. Huyu...
  14. R

    GE2025 CCM: Marufuku wagombea kwenda na wapambe na msafara wa magari kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani

    Chama Cha Mapinduzi kimeeleza sababu za kuzuia shamrashamra za matarumbeta,ngoma,wapambe na pilipiki katika kuchukua na kurudisha fomu za ubunge na udiwani Taarifa kwa umma iliyotolewa na Katibu wa NEC Organaizesheni, Issa Haji Ussi kuhusu mwongozo wa na maelekezo kuhusu utaratibu wa uchukuaji...
  15. McLaren

    PreGE2025 Rais Samia: Watu wanaojileta Majimboni kusema wametumwa na Rais, wakateni mapema sana. Mimi na Mwinyi hatujatuma mtu

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye uzinduzi wa Ilani ya CCM 2025 ameonya wale watu ambao wanaenda majimboni na kuanza kusema kuwa wametumwa na Rais Samia pamoja na Mwinyi ili waweze kupitishwa na wajumbe kama wagombea wa CCM. Rais Samia amesema kuwa yeye na Mwinyi hawajatatuma mtu yeyeote...
  16. Cute Wife

    Utaratibu mpya wa kupata Wagombea Ubunge na Udiwani CCM ni kupunguza Rushwa au Kuengua wote wanaoonesha Upinzani kwa Serikali?

    Wakuu, Machi 7 Amos Makalla alisema CCM kwenye kikao cha ndani ilifanya marekebisho makubwa mawili katika mchakato wa uteuzi. Kwanza, kutakuwa na uchujaji wa wagombea kabla ya kura za maoni, tofauti na awali ambapo jina moja lilikuwa likirudishwa moja kwa moja. Pili, hakuna mgombea atakayepita...
  17. W

    Makalla: CCM imesogeza mbele muda wa kuchukua fomu

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kusogeza mbele ratiba ya mchakato wa ndani wa uteuzi wa wagombea wa nafasi za ubunge, ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na udiwani kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, baada ya kupitia ushauri kutoka kwa wanachama wake.
Back
Top Bottom