kuchochea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  2. Spika Tulia Ackson ashauri itafutwe njia ya kuzuia mauaji yatokanayo na wivu wa mapenzi

    Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake zinasababisha mauaji kuongezeka zaidi. Bado haijafahamika hasa lengo la hoja yake hiyo. Bali ikumbukwe...
  3. Putin hana budi kuchochea vita ili anusurike

    Uhamasishaji wa kijeshi Urusi na kura za haraka za maoni katika maeneo yanayokaliwa mashariki mwa Ukraine ni ishara za udhaifu. Putin amekosea; gharama wanalipa maelfu ya Warusi kwa maisha yao. Rais Putin hawezi kurudi tena nyuma: Na ikiwa atashindwa katika vita vyake vya uvamizi dhidi ya...
  4. I

    SoC02 Tuboreshe Upatikanaji wa Vitendeakazi vya Teknolojia na Digitali kuongeza Pato la Taifa

    Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k. Tuangalie kijana ambaye...
  5. C

    SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  6. SoC02 Wizara ya Maliasili na Utalii iliangalie hili katika kuchochea utalii wa ndani nchini

    Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli nchini, kwa kuamua kwa dhati kucheza filamu ya "The Royal Tour" kwa lengo la kuhamasisha watalii waje...
  7. D

    SoC02 Uboreshaji wa huduma za afya unavyoweza kuchochea maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika vituo vya afya na hospitali,ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma za afya, malipo bora kwa...
  8. R

    Makamu wa Rais asisitiza mambo mbalimbali ya kuzingatia kukuza uwekezaji na kuendeleza sekta ya utalii

    Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani Aidha amezitaka...
  9. Raisi Biden apata mkosi wa kuchochea vita Ukraine

    Radi Yapiga Nje ya White House na Kuuwa Watu Wawili Hapo Hapo Siku ya jana Radi ilishuka Nje ya White House, Ikulu ya Marekani, na kuua Watu wawili ambao ni Wanandoa walijulikana kwa majina yao James Mueller, 76, na Donna Mueller, 75, Baada ya radi kupiga nje kidogo ya Ikulu ya White House...
  10. Mabadiliko ya wakuu wa mikoa na dhana ya kuchochea uwajibikaji

    Kwa mara nyingine Rais Samia Suluhu anaendelea kuonyesha aina ya uongozi unaojali uwajibikaji na usio toa nafasi ya kufanya kazi kwa mazoea. Falsafa hii ni muhimu kwa Taifa linalohitaji matokeo ya haraka na linalojali uwazi na uwajibikaji. Kwasasa kila atakaye pewa nafasi kwa kuteuliwa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…