Niko maeneo Yangu ya kujidai kusherehekea mara baada ya kutoka kupima na kuambiwa Sina Ngoma ni mzima wa Afya kabisa.
Ili eneo flani hivi la Nyama za kuku choma hapa Dodoma. Nimeagiza kuku, na castle Light ya baridii kabisa kujipongeza.
Kwa pembeni naona kuna mtoto wa kiarabu koko ananikodolea...