Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za...