kubadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafikiri kubadili jina; nitawavunjia heshima wazazi nikifanya hivyo?

    Salamu kwenu, Hivi wakuu itakuwa nawavunjia heshima wazazi nikiamua kubadili jina? Mzee alikwishaga tangulia mbele za haki, kabaki mama tu. Kipindi cha zamani hata wakati baba yupo mama aliwahi nigusia kuwa jina nililopewa yeye wala alikuwa hakilipenda ila ni vile mzee alishalipangaga hata...
  2. Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

    Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu. Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa kuweka mdomo katika hali ya usafi, ila kuna baadhi wanaozingatia hii kanuni. Kwa mimi binafsi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…