Wakuu ninachangamoto kwenye jina langu la kati kati kwenye nida ,hivyo nataka nibadilishe ili liendane na taarifa zangu za utumishi.nilitaka kufahamu ni mambo gani ninatakiwa kuyafuata kwa sasa hivi ,ili niweze kufanikiwa jambo hili mimi ni mtumishi wa umma,mwanzoni shule nilisomea majina mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.