Leo , nipo kawe katika Siasa .
Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution.
Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
Nchi za Namibia na Botswana zinatarajiwa kuwa na kiwanda cha pamoja cha kusafisha mafuta( Oil Refinery) ili kupunguza kiwango cha mafuta wanachoagiza kutoka nje.
Hatua hiyo imetajwa ikiwa ni baada ya ziara ya Rais wa Namibia nchini Botswana.
Pamoja na kupunguza uagizaji wa bidhaa za mafuta...
Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
Habarini Wakuu.
Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection'
Faida yake ,mashine zinazohitajika na mambo mengine mengine yote. .
Asante.
Habari Mimi ni kijana mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda cha kuzalisha Unga (sembe +dona) Dar.
Nilikuwa naomba wazoefu kwenye hii biashara wanipe muongozo kwenye haya.
1. Mashine zipi ni bora ( kusaga, kukoboa na sealing) na ufanis wake ukoje
2. Mahindi ya mkoa gani ni mazuri? Na huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.