kuanza safari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania ATCL kuanza safari za Urusi juni 2025 - Waziri Mahmoud Kombo

    ATCL KUANZA SAFARI ZA URUSI JUNI 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amesema kuwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), linatarajia kuanza safari za ndege kuelekea nchini Urusi mnamo Juni, 2026. Ameyasema hayo leo Mei 15, 2026 jijini Arusha...
  2. JamiiForums Tanzania ATCL Kuanza Safari za Moja kwa Moja Tanzania-Moscow 2026

    Ndege ya Air Tanzania ya abiria na mizigo, sasa rasmi, kuanza safari ya moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda jijini Moscow, nchini Urusi kuanzia mwishoni mwa mwezi Juni, 2026
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza safari yangu ya kuwa Data analyst unanishauri nini katika safari yangu?

    Habari zenu Mabro Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Esther Luxury Airlines kuanza safari 2026

    Kufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kwa kutumia ndege za ATR 72-600 (zipo 3) na Boeing 737 (zipo 2) na Boeing 787 (ipo 1) kutokea Julius Nyerere International airport (DAR) kuelekea Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar...
  5. JamiiForums Tanzania TASHICO yatangaza Meli ya MV Victoria kurejea kazini leo Mei 22, 2025 kuanza safari

    Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) inawatangazia abiria na umma wote kwa jumla kuwa meli ya New Victoria Hapa Kazi Tu itaanza safari zake rasmi siku ya Alhamisi tarehe 22 Mei 2025 ikitokea Bandari ya Mwanza Kaskazini kuelekea Bandari ya Bukoba kupitia Bandari ya Kemondo. Hivyo kampuni...
  6. JamiiForums Tanzania kazini nimeambiwa nianze kuamka sa 10 alfajiri, gari imebadili muda wa kuanza safari

    nilizoea kuamka sa 12 Leo jioni nimepigiwa simu na boss kua natakiwa niende kuanza kupanda basi anapoanzia dereva, umbali adi kumkuta dereva kilometer 20 nawaza sana. mkiona sijibu sms mjue nimelala ili nisije chelewa
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Treni iliyokuwa iondoke Dsm kuelekea Zambia imeshindwa kuanza safari sababu ya kutokuwa na diesel.

    Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa rasmi. Kwa mujibu wa tetesi, kuchelewa huko kunaweza kuhusishwa na ukosefu wa mafuta (diesel) kwa ajili...
  8. JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuja South, zingatia mambo haya sita kabla ya kuanza safari yako

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapo chini. Nianze kwa kusema kuwa dunia ina mengi, na kamwe hauwezi kuyajua kama haujaambiwa au kuyaona. Ndio maana waswahili wanamsemo wao unaosema "tembea uyaone". Hii haimaanishi kwamba utembee uyaone...
  9. JamiiForums Tanzania Hili shirika la Reli linaongozwa na watu wenye vituko sana

    Niliskia safari zinaanza tarehe 14 basi nikamtaarifu mke wangu na watoto tunakata tiketi tarehe 14 familia nzima twende Dodoma kwa Treni Yao ya SGR ili jumatatu tule Eid Dodoma Kituko Leo mkurugenzi kageuza Gia angani kuwa bado wanafanya majaribio hivyo safari itaishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…