Wanajanvi kwema? Ninaleta kwenu stori ya kweli ya mkasa uliyonikumba mimi mwenyewe hivi karibuni. Miezi minne iliyopita nilikuwa safarini kutokea Singida Kuja Dar, nikiwa stend Singida nilipanda bas lililotokea Mwanza kuja Dar, bahati nzuri siti ya Jirani kulikuwa na Msichana mwembamba mrembo...