kuachana na mpenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya "Dear X": Nini Kilivunja Penzi?

    Wana jamiiforums karibuni katika uzi huu kwa kushirikishana mikasa au matukio uliyofanyiwa au kumfanyia mpenzi wako hadi kupelekea mahusiano yenu kuvunjika na kuitana dear x. Mimi nitaanza na wakwangu kamaifuatavyo. Wanasema mapenzi ni kama utando wa buibui—unaweza kudhani umejenga nyumba...
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

    Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  4. niomi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kwa namna gani unamuacha mpenzi wako wa muda mrefu? Unachukua hatua gani akiwa anaongea vibaya kuhusu wewe?

    Habari zenu wana JamiiForums. Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali, Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nini njia ya kuachana na huyu mwanamke anayenitesa kiasi hiki?

    Kuna dada mmoja nahisi sijui kaniroga au vipi. Kwani kwa mwezi mmoja sasa katika mapenzi yetu keshanifanyia vitimbi 90 vya kila aina, lakini kila nikiwaza tu kumfukuza kesho yake basi nashangaa ghafla upendo unazidi maradufu kwake. Na kuna siku nakumbuka nilimfukuza na kwenda kwao Kyaka Nkude...
Back
Top Bottom