kuabudu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bunge la Zungu: Kipindi cha kusifu na kuabudu kina muda mrefu sana

    Hili Bunge la Zungu lina mambo mengi sana. Ila kipindi cha kusifu na kuabudu ni kirefu sana. Mjitafakari sana.
  2. Kuitwa hili neno sio tusi. Dini zetu zote tupendani tunamuabudu Mungu mmoja tofauti ni njia za kuabudu

    Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
  3. Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

    Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600. Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu) UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio...
  4. Tabia ya baadhi ya Watanzania kuabudu watoto wa viongozi imekithiri na inatikiwa iishe.

    Kuna tabia ya hovyo imezidi kukithiri ya baadhi ya watu tena wengi wao masikini makapuku kabisa kuwakejeli na kuwazodoa watu wanaolalamika baadhi ya watoto na ndugu wa viongozi kujikatia mapande makubwa zaidi ya keki ya taifa(upendeleo). Hawa watu wanasema watu wasikosoe au kulalamikia watoto na...
  5. Lawyers tusaidieni; Kwa hiyo kanisa langu likifungiwa sitakiwi kuabudu kabisa hata nikikodi ukumbi?

    Ni hoja niliyojiuliza, kwamba watu hawatakiwi kuabudu hata sehemu zingine, walau hata kukodi ukumbi ili kujifunza Neno la Mungu bila kwenda maeneo waliyozungushia utepe, kwa hiyo ile haki yao ya kuabudu imesimamishwa hadi kesi itakapoisha hata kama ni miaka 10? ndivyo katiba inavyotaka ilipotoa...
  6. Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda

    Kuna mtu nilimwambia mbinguni ni kusifu na kuabudu aliniambia kama mbinguni hakuna starehe au wanawake wazuri hataki kwenda. Aliniambia kama mbinguni ni kusifu na kuabudu tu huku ni kuchoshana hii si ni adhabu hii, akaniambia yeye anataka kwenda kwenye pepo ya wanawake wazuri na starehe. Mimi...
  7. Tamko la TLS kuhusu kinachoendelea kwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na haki ya kuabudu

    Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada. Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
  8. V

    Kufungiwa Kanisa la Gwajima, Uhuru wa Kuabudu na Hatima Yetu

    Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu. Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
  9. Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?

    Wakuu habari zenu, Kiukweli nimekuwa nikifuatilia kwa utulivu kinachoendelea kuhusu baadhi ya viongozi wa dini nchini, hususan tukio linalomhusu Askofu mmoja ambaye kwa sasa jina lake limekuwa gumzo lakini kwa kweli kinachonigusa si jina lake, bali kile kinachowakumba waumini wake. Leo nimeona...
  10. Mgogoro kati ya serikali na kanisa la GCTC chini ya Askofu Gwajima: Polisi wazuia waumini kuabudu, wawapiga mabomu na kuwajeruhi wengi leo

    https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa... Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
  11. R

    Tundu Lissu usihofu, Ibada haizuiliki, Hekalu ni mwili wako, Madhabahu ni moyo wako. Endellea kuabudu

    Salaam, Shalom! Nimesikia nabii Tundu Lissu akilalamika kupokwa haki yake ya kuabudu, hii SI kweli. Agano la kale, watu iliwabidi kusafiri Hadi Yerusalemu kwenda kuabudu, Agano jipya mambo yamebadilika. Mungu anaabudiwa Katika njia illiyoboreshwa zaidi. Wamwabuduo halisi, imewapasa...
  12. Kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa Waumini hakuna kusali,Lissu gerezani hakuna kuabudu ?

    Heshima sana wanajamvi. Najiuliza kanisa la Ufufuo na Uzima limefungwa waumini wake hawana fursa ya kuabudu. Kanisa la Askofu Mwanamapinduzi limefungwa hakuna kuabudu. Lissu gerezani hakuna kuabudu ! Je hii imekaaje ?. Ngongo kwasasa Ukonga.
  13. M

    Kamateni Askofu Gwajima ila waumini waacheni waendelee kuabudu

    Nilishasema Mama anahujumiwa. Ninarudia tena MAMA ANAHUJUMIWA. Kuna cartel inasukuma kete zake kwa ustadi mkubwa sana kumharibia mama kipenzi cha watanzania. Hii ishu ya kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu inaichafua zaidi serikali ya mama. Kama Gwajima ndo mwenye kosa basi akamatwe yeye...
  14. Ukitaka uchumi wako ukue kwa kasi hapa Tanzania jifunze kusifu na kuabudu

    Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
  15. Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  16. Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi. "Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
  17. Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  18. CHADEMA yalaani kufutwa kwa Kanisa la Askofu Gwajima, wadai ni dhuluma na ukiukwaji wa uhuru wa kuabudu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma > ACT Wazalendo...
  19. Uhuru wa Kuabudu na Haki ya Askofu Gwajima Kufundisha Amri za Mungu: Usiue mtu asiye na hatia, Usiue jina zuri la mtu baki, na Usiibe mtu kwa Kumteka

    https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi wake, ni ushahidi kwamba huenda viongozi wetu hawaelewi kwamba uhuru wa kuutafuta ukweli wa...
  20. Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?

    Hakuna tofauti na kumuweka Brian Deacon makanisani 😁 Kwenda kuli shika hili Kaaba kuna tofauti na kuabudu sanamu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…