kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

    Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi 1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university 2.Bachelor of Economics and finance _IFM 3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  3. JamiiForums Tanzania KWA UFAULU HUU ASOMEE KOZI GANI?

    Habari wakuu, Huyu ni binti nilitaka kujua kama mzazi ni kozi gani yenye tija anaweza kusoma , amemaliza kidato cha 4 2023.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nimesoma kozi ya Mawasiliano kwa Umma, natafuta kazi

    Habari zenu watanzania ndugu zangu Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari, call center au afisa uhusiano wa umma Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo,kimara.Asanteni
  5. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani niweze kutoboa kimaisha kiwepesi zaidi

    Habari za mchana Hongereni simba kwa tamasha la jana na yanga leo mfanikiwe zaidi. Jaman naombeni ushaur kozi gani naweza soma nikaja kuajiriwa ndani ya serikali yaan ndani ya miaka mitano au nane serikalini niweze kujenga hata nyumba mbili na kagari hata kamoja then niachane na iyo kazi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  8. JamiiForums Tanzania Kama umefaulu vizuri PCB kasomee Radiology au Doctor of Dental Surgery (DDS)

    Wakuu kwema Ni muda vijana wanaomaliza form six pcb na 1.3 hadi 1.6 kuwaza kusomea udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno (dds) au Radiology (udaktari wa mionzi) kwani itachukua muda mrefu sana kozi hizi kujaa watu mitaani au mahospitalini DDS kwa mfano , katika post iliyopita ya uhitaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo: 1. Bachelor degree in Banking and...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kozi ya DIP in Fish Processing, Quality Assurance and Marketing. Je, ni sekta zipi ataweza fit ukiachana na sekta ya fisheries?

    Habari wakuu napenda ulizia ni sekta ipi inayofaa kwa graduate level diploma akiwa na cheti hiko hapo juu,, kwa kazi kuajiriwa ukiachana na fisheries.....au viwanda vipi vinafaa ,,, Yupo Dar es Salaam Asante
  12. JamiiForums Tanzania Kozi ya Architecture kwa ngazi ya Diploma au Certificate

    Habari wana JF. Naomba kujua vyuo vinavyofundisha kozi ya usanifu wa majengo (Architecture) kwa ngazi ya Diploma au Certificate. Natanguliza shukrani.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kozi ya architecture unaweza kusoma kwa comb ya CBG

    Msaada please
  14. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuleta kozi hapa jinsi ya ku-apply na kutoboa Upwork. Lakini naomba tusemezane kwanza...

    Habari wanaJF, Ni mimi tena (It's me again). katika pita pita zangu, nimeangukia kozi moja makini ambayo naweza kuileta kwenu kwa ajili ya kusaidia wanaotaka kufanya kazi Upwork. Nina account huko, na nimefanikiwa pakubwa. Kozi screenshot yake hii hapa: Niliipata kwa mKenya fulani hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D). Alipangiwa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Kozi za Mtandaoni na vyeti vya mtandaoni vipewe kipaumbele kuendana na soko la ajira kwa Tanzania

    Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia watu ujuzi na maarifa. Hata hivyo, Tanzania bado inakabiliwa na changamoto katika kutambua na kukubali...
  17. JamiiForums Tanzania Kozi Zenye Kipaumbele Kupata Mkopo

    1 Programs in Cluster One Students in cluster one must be admitted in the following programs:- i. Health and Allied Sciences Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational Therapy, Physiotherapy, Clinical optometry, Dental Laboratory Technology, Orthotics & Prosthetics, Health...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nitapata nafasi kwenye kozi niliyoomba kwa ufaulu huu?

    Nimepata Phy D Math D Chem C Na jumla ya ufaulu nin two ya 21 na nimeapply DIT kozi ya electrical engineering na mechanical engineering je nitapata nafasi kati ya hizo MSAADA WA MAWAZO WAKUU AHSANTENI
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  20. JamiiForums Tanzania Fursa ya masomo kozi ya Clinical Officer

    Ndugu changamkia fursa hii...Karibu katika chuo cha Mlandizi College of Health. Upate kujiunga na kozi ya utabibu Clinical Officer kwa ngazi ya Diploma. Dirisha la udahili la wizara ya afya limeshafunguliwa wahi kabla halijafungwa. Bofya hapa kujiunga na group letu la whatsapp kwa maulizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…