kozi za afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Je dirisha la pili la maombi ya vyuo kwa diploma limefunguliwa kwa wanaoomba kozi za afya tu?

    Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye mfumo kipengele cha kuchagua kozi kinaniletea kozi za afya tu kama hivi.
  2. poisoner

    Kero ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi za afya, Ongezeni mikopo

    𝐒𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐡𝐞𝐬𝐡𝐢𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢 𝐰𝐨𝐭𝐞 𝕎𝕒𝕟𝕒𝕗𝕦𝕟𝕫𝕚 𝕨𝕖𝕟𝕘𝕚 𝕨𝕒 𝕞𝕨𝕒𝕜𝕒 𝕨𝕒 𝕜𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒, 𝕙𝕒𝕤𝕒 𝕨𝕒𝕝𝕖 𝕨𝕒 𝕜𝕠𝕫𝕚 𝕫𝕒 𝕒𝕗𝕪𝕒, 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕒𝕥𝕒 𝕔𝕙𝕒𝕟𝕘𝕒𝕞𝕠𝕥𝕠 𝕜𝕦𝕓𝕨𝕒 𝕜𝕒𝕥𝕚𝕜𝕒 𝕜𝕦𝕝𝕚𝕡𝕚𝕒 𝕒𝕕𝕒 𝕫𝕖𝕥𝕦. ℍ𝕚𝕚 𝕟𝕚 𝕜𝕨𝕒 𝕤𝕒𝕓𝕒𝕓𝕦 𝕞𝕚𝕜𝕠𝕡𝕠 𝕪𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕗𝕚𝕕𝕚𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚 𝕪𝕠𝕥𝕖 𝕪𝕒 𝕖𝕝𝕚𝕞𝕦. ℍ𝕒𝕥𝕒 𝕥𝕦𝕟𝕒𝕡𝕠𝕡𝕠𝕜𝕖𝕒 𝕡𝕠𝕤𝕙𝕠 (𝕓𝕠𝕠𝕞), 𝕚𝕟𝕒𝕜𝕦𝕨𝕒 𝕙𝕒𝕚𝕥𝕠𝕤𝕙𝕚 𝕜𝕦𝕥𝕦𝕟𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕞𝕒𝕙𝕚𝕥𝕒𝕛𝕚...
  3. P

    Kwa matokeo ya Physics E, Chemistry D na Biology C anaweza kusoma lozi ya Afya kwa vyuo vya serikali au binafsi?

    Habari, Dogo kamaliza form six PCB ufaulu wake ni Phy-E, Chem-D na Bios-C, je, anaweza kusoma afya kwa vyuo vya serikali au binafsi? Binafsi anapenda Udaktari au Ufamasia, ushauri afanyaje? Nawasilisha.
  4. T

    Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  5. Mwafrika Halisia

    Kwa ufaulu huu diploma naenda kozi za afya?

    Habari wanaJF matokeo ya kidato cha sita yametolewa leo . Nimepata ufaulu huu Geo D Chemistry E Bio E BAM E Kwa nilivyoona Sina qualifications za kwenda degree. Nauliza je uwezekano wa kwenda diploma upo kozi za afya?kama inawezekana Je nikisoma diploma ya afya inachukua miaka mingapi...
  6. Orketeemi

    Kwa matokeo haya anaweza kusoma Kozi gani za Afya?

    Wakuu poleni na majukum, Nimeombwa ushauri hapa nikaona nililete kwenu maana humu kila kila aina ya wabobezi. Huyu kina anataka asome kozi za afya na matokeo yake ni haya : PHYSICS. " F" CHEMISTRY " B" BIOLOGY. "C" MATHEMATICS "C" ENGLISH " B" Kiujumla ana Division Two ya point 19.
Back
Top Bottom