Kuna watu wanasubiri ufe ndio wakusifie. Hii si haki.
Mimi sisubiri kusifiwa, au sisubiri nife ndio nisifiwe. Najisifia mwenyewe, tena sasa hivi.
Mimi ni binti wa kimanyema, nimezaliwa mkoani Mtwara mnamo mwaka 1982.
Nina sifa zote za mwanamke mzuri. Mimi ni mrefu, shupavu, makebo makubwa na...