Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P
Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka .
Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
Anaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika.
Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16...
Best yangu alikuwa na mume wake , mwanzoni walikuwa na mapenzi yaleee kiasi mume anaweza kuacha simu yake ndani akaenda sehemu bila wasiwasi wowote ule. Sasa ghafla mume akaanza kuondoka na simu yake , simu ikawa na password Kila sehemu , mke akaanza kushtuka huyu vipi imekuaje tena.
Mume...
Mzuka wana Jamvi ?
Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!!
Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii...
Ninaomba kuwauliza wakuu maana nimekua nikisemwa semwa sana mpaka sasa kuna wakati nikikaa natamani kua navaa kofia tu muda wote.
Kikawaida nilivyo mimi nina komwe limetokea kwa mbele yaan inafika hatua watu hawaniiti tena jina langu nashangaa mtu ananiita tu komwe badala ya jina langu halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.