Wakati Morocco ikiendelea kuandika historia uwanjani katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026, inaendelea na mipango mukubwa ya ujenzi wa uwanja baada ya kuwa mwenyeji wa Fainali ya Kombe la Dunia la FIFA ya mwaka 2030.
Uwanja wa Grand Stade Hassan II utajengwa katika eneo la El Mansouria...
Hapa hata Taifa Stars itapata nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia au Wadau mnasemaje?
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amesema shirikisho hilo litajadili uwezekano wa kuongeza idadi ya timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia la mwaka 2030 kutoka timu 48 hadi 64. Amesema pendekezo hilo litajadiliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.