komamanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Mtaturu

    Faida za Komamanga

    🌱 FAHAMU KUHUSU KOMAMANGA 🌱 Tunda la komamanga (kwa Kiingereza pomegranate, jina la kisayansi huitwa: Punica granatum) ni tunda lenye nguvu kubwa ya kiafya na hutumika sana katika tiba za asili. 🌿 Maradhi Ambayo Komamanga Hutibu 🌿 👉1. Tezi dume (Prostate health): - Juisi ya komamanga...
  2. MAJIYAPWANI

    Naweza kupata wapi beet roots na komamanga kwa Dar?

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema ni wapi naweza pata hayo matunda kwa Dar es Salaaam na je beibyake kiasi gani kuanzi robo, nusu, au kilo. Asanteni.
  3. Sildenafil Citrate

    Faida za Komamanga

    Komamanga ni mojawapo ya matunda yaliyodumu duniani kwa karne nyingi sana, kisayansi huitwa Punica granatum. Virutubisho Huwa na muunganiko mkubwa wa kemikali za phenolics, flavonoids, ellagitannins, na proanthocyanidin, pamoja na madini ya potassium, calcium, phosphorus, magnesium na sodium...
Back
Top Bottom