kodi za wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    Tume aliyoiunda Samia ni upigaji mtupu wa kodi za wananchi. Hakuna litakalofanyika, ni kuendeleza dharau zake!

    Yani hii tume alichokifanya ni kubandika tu majina anayoyajuwa yeye ya kumlinda zaidi, lakini si kuwasaidia wananchi. Yani tume hakuna hata Human Rights Organization, wadau wengine kama Vyombo vya Habari, halafu unasema hiyo ni tume. Yani Samia kashatuona sisi watanzania ni kama bibi zake wa...
  2. W

    Chalamila: Wanasema ni Kodi zetu, tukirudisha naamini hamtopata chochote

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo tarehe 22 Septemba, 2025 amekabidhi magari mawili aina ya Toyota Land Cruiser Prado yenye thamani ya shilingi za kitanzania milioni mia mbili hamsini na mbili kila moja (Tsh. 252,000,000) kwa wakuu wa wilaya za Ubungo na Kigamboni. Aidha...
  3. P

    GE2025 Kinachoendelea nchini kwa sasa ni uharibifu wa kodi za wananchi au ni maandalizi ya uchafuzi unaoitwa uchaguzi?

    Nchi inaingiaje kwenye uchaguzi ambao dola imeamua yenyewe nani agombee nafasi gani na kupitia chama kipi!? Yaani Mpina, Salumu Mwalimu ndo wawe wapinzani wakubwa? Ukifuatilia historia ya wametoka wapi na lini mpaka kugombea hizo nafasi unagundua kabsa wamepandikizwa na sisi_M ili baadae waje...
  4. Damaso

    TRA Kodi za Wananchi ni Maisha ya Viongozi?

    Tanzania Revenue Authority (TRA), taasisi iliyoundwa rasmi mwaka 1995 kwa madhumuni ya kukusanya mapato ya serikali, leo hii inakabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi wanaohoji uhalisia wa mchango wake katika kuboresha maisha ya Watanzania wa kawaida. Wapo wanaosema kuwa mfumo huu wa...
  5. Lord Denning

    Kuna nini CCM? Kile kikundi cha hamasa kinacholipwa kodi za Wananchi kumshangilia Mwenyekiti anapokuwaga kwenye ziara leo kilikuwa wapi?

    Kwa msiojua hii ndo Modus Operandi ya CCM katoka kuendelea kuwalaghai Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kuwa Wanapendwa nchini ( Wana Popular Support). Wanajua kabisa hawawezi kujaza mikutano yao kutokana na Wananchi kutowakubali. Hivyo wanachofanyaga siku zote Wanawaamuru Wakuu wa Mikoa...
  6. W

    PreGE2025 Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi

    Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi. Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 CCM wanatoa wapi fedha za kununulia msululu huu wote wa Mabasi, kama sio Kodi za Wananchi ni nini?

    Wakuu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Jokate Mwegelo ame-share video hii ya Mabasi (Yutong Bus) ya CCM katika msafara ukielekea Dodoma kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa unaotarajiwa kufanyika Tarehe 18-19 Januari, 2025. Soma: CCM kufanya mkutano mkuu Januari...
  8. G

    Miradi ya serikali ipewe majina ya utaifa iache kupewa majina ya viongozi, Kodi za wananchi na mikopo inayolipwa na wananchi hujenga miradi

    Kuanzia kipiindi cha awamu ya tano kumekuwa na trend kubwa mno ya kuipa miradi majina ya viongozi, Hii inakoelekea ni kubaya sana. Miradi inajengwa kwa kodi wanazolipia wananchi na madeni wanayolipia wananchi, Sioni sababu ya kuita miradi majina ya viongozi unless wao wawe wametoa hela mifukoni...
  9. G

    Goli la mama, Yanga yaingiza milioni 50 kwa kodi za wananchi

    Rais Samia alitoa ahadi yake ya kutoa hamasa kwa timu zinazo shiriki michuano ya kimataifa kwa ngazi ya vilabu vya YangaSC, Simba SC, Coastal Union na Azam FC kila Goli moja Rais anatoa shilingi milioni 5. Na hadi sasa Yanga SC amenufaika zaidi ya kuvuna milioni 50 katika michezo yake miwili...
  10. hitler2006

    Iwapo hela za kufanya kila kitu kwenye nchi anatoa Rais, Kodi zetu zinaenda wapi?

    Nimekua nikijiuliza sana kila naposikia kauli za watendaji na viongozi wetu. Utasikia mama katuletea hela kwaajili ya mradi huu. Nabaki na maswali nijuavyo Serikali hujiendesha kwa kodi za wananchi, grants lakini pia magawio kutoka mashirika yake lakini pia mikopo ambayo hulipwa badaye na...
Back
Top Bottom