kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha.
Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari.
Kwishaaa
Bro Alex on la...
Kwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka.
Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa.
Mfano ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.